kilimobiashara1 | Unsorted

Telegram-канал kilimobiashara1 - Kilimo Biashara

2711

Karibu kwenye Chanel ya Kilimo Biashara upate mafunzo ya kilimo chenye faida. Mafunzo haya ni bure

Subscribe to a channel

Kilimo Biashara

Je, unataka mavuno mengi ?

Jaribu ZALISHA Booster Plus!

ZALISHA Booster Plus ni mbolea ya maji yenye viini lishe na vichocheo vinavyosaidia kuongeza uzalishaji wa maua na utungaji wa matunda, na kusababisha mavuno mengi zaidi.

Kwa nini uchague ZALISHA Booster Plus?:

1. Formula ya NPK 10:26:47 yenye kiwango cha juu cha potasiamu (K) husaidia utungaji wa matunda bora na kuongeza ukubwa wa mazao.

2. Vichocheo vya ukuaji huimarisha mimea na kuongeza ufanisi wa virutubisho.

3. Huzuia kuanguka kwa maua na matunda mapema kwa mavuno mengi zaidi.

4. Huwezesha matunda kuiva kwa njia sahihi na kuboresha ubora wake.

6. Huongeza kinga ya mimea dhidi ya magonjwa.

ZALISHA Booster Plus ni bora kwa:

1. Mimea yote ya maua na matunda

2. Mimea inayohitaji kiasi kikubwa cha potasiamu

3. Kipindi cha maua na utungaji wa matunda

Pata ZALISHA Booster Plus leo!

Nunua ZALISHA Booster Plus original kutoka Kilimo Biashara.

Simu: 0763 071007

Usikose mavuno mengi tena! Jaribu ZALISHA Booster Plus sasa!

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Wafanyakazi wa shamba.

Wanahitajika vijana 15 kwa ajili ya shughuli za shamba kama kufanya palizi, kufyeka, kuchimba mashimo nk

Shamba lipo Miono Chalinze.

Wanahitajika Vijana kutokea Chalinze, Kibaha, Mlandizi, Bagamoyo, morogoro au maeneo jirani na hayo.

Mawasiliano: 0763071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Miche ya Minazi pamoja na Miembe ikiwa tayari kwa ajili ya kupelekwa shambani kwa mteja wetu.

Karibu sana kwa huduma ya Miche bora ya matunda

0763 071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Welcome to our Whatsapp Chanel
👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaCqY2wEFeXrqOcl8s0m

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Je wajua Kupata Miche bora na ya Uhakika ni Kigezo au msingi muhimu sana katika kufanikiwa kwenye Kilimo cha Matunda?

Miche/mbegu ambazo hazina ubora hata uzitunze vizuri namna gani haziwezi kutoa matokeo bora.

MICHE BORA + MATUNZO BORA= MAVUNO BORA

Karibu uwe mmoja ya mamia ya wakulima wanaofanya vizuri kwenye kilimo cha Matunda kwa kutumia Miche bora na yenye ukahika kutoka kwetu.

Amua leo kuchagua kilicho bora maana unastahili kilicho bora. Karibu tukupe kilicho bora.

Karibu sana upate miche bora ya matunda kutoka kwetu. Miche ya uhakika na iliyoboreshwa (improved). Tuna miche mizuri ya Papai, miembe, Michungwa, Limao, ndimu, pesheni, parachichi nk

Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno.
Tunafanya delivery, kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa). Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa.

Mawasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Ufungaji wa mifumo wa umwagiliaji -Drip irrigation

0763 071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai  ili ufanikiwe.

Kilimo cha papai ni moja ya shughuli za kilimo zinazofanyika sana katika nchi nyingi duniani. Papai ni zao la chakula na biashara ambalo linapatikana kwa urahisi na lina faida nyingi kwa wakulima.

Hapa chini ni mambo 6 muhimu ya kuzingatia katika kilimo cha papai:

1. Chagua eneo la kilimo: Papai hupenda maeneo yenye joto na unyevu wa kutosha. Eneo la kilimo linapaswa kuwa na udongo wenye rutuba na uwezo wa kuhifadhi maji.

2. Chagua aina bora ya papai: Kuna aina nyingi za papai, na kila aina ina sifa zake. Ni muhimu kuchagua aina bora ya papai kulingana na mahitaji ya soko lako na hali ya hewa ya eneo lako la kilimo.

3. Tengeneza mashimo ya kupanda: Kabla ya kupanda miche ya papai, unapaswa kutengeneza mashimo ya kupanda. Mashimo yanapaswa kuwa na kina cha angalau sentimita 60 na upana wa sentimita 50-60. Umbali wa mstari hadi mstari unaweza kutumia mita 2.5 hadi 3, na umbali wa mche hadi mche unaweza kutumia mita 2 hadi 2.5.

4. Panda miche ya papai: Baada ya kutengeneza mashimo, weka mbolea ya samadi iliyooza vizuri, angalau madebe 2 kwa kila shimo. Baada ya kuweka mbolea ya samadi Panda miche ya papai.

5. Tumia mbolea: Papai hupenda mbolea ya kutosha. Papai linahitaji aina mbalimbali za mbolea kwa kila hatua za ukuaji. Kuna mbolea ya kupandia, kuna mbolea ya kukuzia, kuna mbolea ya kunenepeshea matunda nk. Hakikisha unatumia mbolea sahihi kwa kila hatua.

6. Tumia dawa za kuua wadudu: Papai ni mazao yanayovamiwa sana na wadudu. Ni muhimu kutumia dawa za kuua wadudu ili kulinda mazao yako.

Uzalishaji wa papai unaweza kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa kutumia miche bora ya papai. Miche bora ya papai ina sifa kama vile kuwa na uwezo wa kustahimili magonjwa, kuwa na mavuno mengi, na kuwa na uwezo wa kukua vizuri katika hali mbalimbali za hewa.

Unaweza kupata miche bora ya papai kutoka kwetu. Miche iliyozalishwa kitaalamu inaweza kusaidia kuongeza uzalishaji na kuboresha ubora wa mazao yako kwa kiwango kikubwa.

Pia, tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu jinsi ya kutunza mipapai yako ili kuhakikisha mavuno bora.

Kwa mahitaji ya Miche bora ya Papai tucheki kupitia 0763071007.

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Drip irrigation kwa ajili ya Kilimo cha Mahindi

Karibu sana kwa huduma ya kufungiwa mifumo ya umwagiliaji (Irrigation systems).
Tucheki kupitia 0763 071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Karibu sana ujipatie miche bora ya Papai za kisasa, zile za muda mfupi.

Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno.
Tunafanya delivery, kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa). Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa.
awasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Upandaji wa Migomba

Nafasi ya kuchimba mashimo

Mashimo yatachimbwa kwa nafasi inayokusudiwa kutumika kati ya mashina ya migomba na kati ya mistari kama ifuatavyo:-
• Migomba inaweza kupandwa kwa nafasi ya umbali wa mita 2.75 kwa 2.75 kwa migomba mifupi kama Kimalindi na Kisukari.
• Umbali wa mita 3 kwa mita 3 kwa migomba ya urefu wa kati, kama Jamaica na Mshale.
• Umbali wa meta 3.6 kwa meta 3.6 kwa migomba mirefu zaidi kama Uganda green.

Kuchagua machipukizi bora
Machipukizi mazuri yanayofaa kwa mbegu ni yale yenye sifa zifuatazo:
• Liwe chipukizi sime, yaani lenye majani membamba.
• Litoke kwenye mgomba (shina) wenye afya nzuri, usiokuwa na magonjwa, minyoo ya mizizi, wala vifukuzi vya migomba.
• Litoke kwenye mgomba wenye sifa ya kuzaa mikungu mikubwa.
• Liwe na afya nzuri na lisiwe na dalili za ugonjwa, wadudu, au mayai ya vifukusi.

Karibu ujipatie miche mizuri ya migomba yenye sifa hizo hapo juu. Aina ya ndizi zilizopo ni Mzuzu, Malindi, Bukoba, Kisukari, FHIA, Mshare nk

Simu: 0763071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Project ya Papai kwa kutumia Drip irrigation

Maendeleo ni mazuri sana shambani kwa mteja Wetu kwenye project yake ya papai.

Karibu upate huduma ya kufungiwa drip irrigation kwa ajili ya kilimo cha kisasa na cha kisasa.

Pia karibu ujipatie Miche bora ya papai za kisasa. pamoja na miche tutakupatia elimu/utaalamu kuanzia upandaji, utunzaji hadi kuvuna.

Mawasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Ufungaji wa a Drip irrigation kwa ajili ya Kilimo cha Papai na migomba.

Je unataka kulima kwa kutumia mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone ( Drip irrigation)?

Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa.

Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk.

Vilevile tunazo Drip maalum kwa ajili ya matunda kama papai, pesheni, migomba nk

Wasiliana nasi kwa huduma bora na nafuu za kilimo.
Simu: 0763071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net

#kilimobiashara

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai  ili ufanikiwe.

Kilimo cha papai ni moja ya shughuli za kilimo zinazofanyika sana katika nchi nyingi duniani. Papai ni zao la chakula na biashara ambalo linapatikana kwa urahisi na lina faida nyingi kwa wakulima.

Hapa chini ni mambo 6 muhimu ya kuzingatia katika kilimo cha papai:

1. Chagua eneo la kilimo: Papai hupenda maeneo yenye joto na unyevu wa kutosha. Eneo la kilimo linapaswa kuwa na udongo wenye rutuba na uwezo wa kuhifadhi maji.

2. Chagua aina bora ya papai: Kuna aina nyingi za papai, na kila aina ina sifa zake. Ni muhimu kuchagua aina bora ya papai kulingana na mahitaji ya soko lako na hali ya hewa ya eneo lako la kilimo.

3. Tengeneza mashimo ya kupanda: Kabla ya kupanda miche ya papai, unapaswa kutengeneza mashimo ya kupanda. Mashimo yanapaswa kuwa na kina cha angalau sentimita 60 na upana wa sentimita 50-60. Umbali wa mstari hadi mstari unaweza kutumia mita 2.5 hadi 3, na umbali wa mche hadi mche unaweza kutumia mita 2 hadi 2.5.

4. Panda miche ya papai: Baada ya kutengeneza mashimo, weka mbolea ya samadi iliyooza vizuri, angalau madebe 2 kwa kila shimo. Baada ya kuweka mbolea ya samadi Panda miche ya papai.

5. Tumia mbolea: Papai hupenda mbolea ya kutosha. Papai linahitaji aina mbalimbali za mbolea kwa kila hatua za ukuaji. Kuna mbolea ya kupandia, kuna mbolea ya kukuzia, kuna mbolea ya kunenepeshea matunda nk. Hakikisha unatumia mbolea sahihi kwa kila hatua.

6. Tumia dawa za kuua wadudu: Papai ni mazao yanayovamiwa sana na wadudu. Ni muhimu kutumia dawa za kuua wadudu ili kulinda mazao yako.

Uzalishaji wa papai unaweza kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa kutumia miche bora ya papai. Miche bora ya papai ina sifa kama vile kuwa na uwezo wa kustahimili magonjwa, kuwa na mavuno mengi, na kuwa na uwezo wa kukua vizuri katika hali mbalimbali za hewa.

Unaweza kupata miche bora ya papai kutoka kwetu. Miche iliyozalishwa kitaalamu inaweza kusaidia kuongeza uzalishaji na kuboresha ubora wa mazao yako kwa kiwango kikubwa.

Pia, tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu jinsi ya kutunza mipapai yako ili kuhakikisha mavuno bora.

Kwa mahitaji ya Miche bora ya Papai tucheki kupitia 0763071007.

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Ujenzi wa project ya Greenhouse za chuma ukiendelea hapa Muheza.

Je unataka kufanya kilimo cha GREENHOUSE kwa gharama nafuu?

Karibu upate huduma ya kujengewa Greenhouse bora. Pamoja na kukujengea Greenhouse utapatiwa supervision na training Kwa miezi 3.

Wasiliana nasi kwa huduma bora na nafuu za kilimo.
Simu: 0763071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Hii sio ajira ya kudumu. Ni shughuli za kufanya kwa muda wa wiki 2 had 3 (vibarua)

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Video from Kilimo Biashara

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Project ya Papai kwa kutumia Drip irrigation

Maendeleo ni mazuri sana shambani kwa mteja Wetu kwenye project yake ya papai.

Karibu upate huduma ya kufungiwa drip irrigation kwa ajili ya kilimo cha kisasa na cha kisasa.

Pia karibu ujipatie Miche bora ya papai za kisasa. pamoja na miche tutakupatia elimu/utaalamu kuanzia upandaji, utunzaji hadi kuvuna.

Mawasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Mashine ya kufanya Palizi, inauzwa.

Ni mpya haijatumika hapa kwenye video ilikua inafanyiwa majaribio (Testing). Mashine ina nguvu na imara sana.

Mwenye nayo(mmiliki) anaiuza bei ndogo sana yaani 350,000/= tu. Badala ya bei yake halisi ya 700,000.

Tucheki kupitia  0763 071007 , kuwahi ndio ujanja.  Karibu sana

Michongoma

Karibu ujipatie mbegu bora za michongoma Kwa ajili ya kuweka fence kwenye Shamba lako, Nyumba, viwanja nk.

Bei: 20,000 Tzs / Kg
Tucheki kupitia 0763071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Drip irrigation kwenye Kilimo cha Nyanya 🔥

Читать полностью…

Kilimo Biashara

https://youtu.be/bfl-DN4IurQ

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Miche ya papai ikiwa tayari kwa ajili ya kupelekwa shambani kwa mteja wetu kwa ajili ya kupandwa.

Karibu ujipatie miche mizuri ya Papai zile za muda mfupi. Aina ya Papai ni Malkia F1 ambayo ni nyekundu ndani na ni tamu sana.
Miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna.
Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu kuanzia Upandaji, utunzaji hadi Mavuno. .

Tunafanya delivery, kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa). Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa. .

Mawasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Kilimo cha Migomba kwa kutumia umwagiliaji wa matone (drip irrigation)

0763071007

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Ufungaji wa a Drip irrigation kwa ajili ya Kilimo cha Papai

Je unataka kulima kwa kutumia mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone ( Drip irrigation)?

Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa.

Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk.

Vilevile tunazo Drip maalum kwa ajili ya matunda kama papai, pesheni, migomba nk

Wasiliana nasi kwa huduma bora na nafuu za kilimo.
Simu: 0763071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net

#kilimobiashara

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Miche bora ya Migomba

Je, unatafuta miche bora ya migomba kwa ajili ya shamba lako? Tuna furaha kukujulisha kuwa tunayo miche bora ya migomba inayopatikana kwetu.

Miche yetu ya migomba imechaguliwa kwa makini na wataalam wetu wa kilimo ili kuhakikisha kuwa inakua vizuri na kutoa mavuno bora. Tuna aina mbalimbali za migomba kulingana na mahitaji yako, ikiwa ni pamoja na aina za kisasa zaidi na zinazovumilia magonjwa.

Tunatoa huduma ya usafirishaji wa miche yetu kwa wateja wetu popote walipo (kwa gharama nafuu).

Pia, tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu jinsi ya kutunza migomba yako ili kuhakikisha mavuno bora.

Hivyo, kama unatafuta miche bora ya migomba, wasiliana nasi leo na utapata huduma bora na miche bora ya migomba kutoka kwetu.

Tucheki kupitia simu: 0763071007
Asante kwa kutuchagua!

Читать полностью…

Kilimo Biashara

Project ya Papai

Maendeleo ni mazuri sana shambani kwa mteja Wetu kwenye project yake ya papai.

Karibu ujipatie Miche bora ya papai za kisasa. pamoja na miche tutakupatia elimu/utaalamu kuanzia upandaji, utunzaji hadi kuvuna.